Diamond Na Zari Kuvalishana Pete Ya Uchumba Mwezi Ujao Uganda, Harusi Ya Kifahari Ni Tanzania Na Uganda.

Diamond Na Zari Kuvalishana Pete Ya Uchumba Mwezi Ujao Uganda, Harusi Ya Kifahari Ni Tanzania Na Uganda. Diamond na Zari New buzz ni kuwa celebrities wanaodaiwa kuwa wapenzi Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady wapo mbioni kuvalishana pete ya uchumba. Habari zinadai kuwa wawili hao
watavalishana pete ya uchumba mwezi ujao mwishoni siku ya event ya White Party inayoandaliwa na Zari kila mwaka. Party hiyo itafanyikia Uganada December 18 ambapo kwa mujibu wa Mitandao ya Uganda Diamond ilijulikana mapema ataalikwa hata kabla ya picha za kimahaba akiwa na Zari hazijasambaa ingawa wenyewe wamedai ni video ya wimbo wao mpya. Gossip zaidi zinasema kuwa ndoa ya kifahari kati ya wawili hao itafanyika Tanzania na Uganda

Post a Comment

0 Comments