SHILOLE ALUDIANA NA MCHUMBA WAKE

Baada Ya Siku Ile Ya Ijumaa Tumepata Habari Katika Gazeti La Ijumaa Tumekutana Na Habari Hii apa_____Staa Wafilamu Mwanamuziki Anaye Iti kwa sasa Zuwena Mohamed..Shilole..Ameongea Kuhusu Mchumba Wake Nuhu Mziwanda Kumuomba Msamaha Aliongea Kwenye Gazeti La Ijumaa Shilole Aombwa Msamaha Eti Shilole Anasema Alimkuta Mchumba Wake Hotel Na Mwanamke Shilole ALIZUNGUMZA alisema Lilitokea Kasheshe Na Aliamua Kumuacha Nuhu Mziwanda Baada Ya Wiki Mbili Mbele Nuhu Mziwanda Mchumba Wa Shilole Amekwenda Nyumbani Kwake Shilole Temeke Kumuomba Msamaha Shilole Bado Hajatuambia Kama kama amemsamehe Usisite Kufungua Mahaba Nihue Nikipata Habari Ntakujuza Good Time

Post a Comment

0 Comments