JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote. *Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.* Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.

Post a Comment

0 Comments