UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 (kwa Mamlakaza Wilaya) na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura 288 (kwaMamlaka za Miji) zinaelekeza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Mitaa, Vijijina Vitongoji hufanyika kilabaada ya miaka mitano (5).
Kwa mwaka 2014, uchaguziwa Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji, Mitaa;Wajumbe wa Halmashauri zaVijiji, na Wajumbe wa Kamati za Mitaautafanyika nchini kote tarehe14Desemba,2014kama ilivyotangazwanaWaziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa tarehe 2 Septemba, 2014.
Katikakufanya maandalizi ya uchaguzi huo shughuli mbalimbali zamaandalizi zimefanyika na zinaendelea kufanyika ili kufikia hatuambalimbali za ukamilishaji.

Post a Comment

0 Comments