wafanyakazi wakumbushwa kuwajibika

Ikiwa ni siku ya wafanyakazi duniani Rais JAKAYA KIKWETE amesema katika kipindi cha Miaka KUMI ya uongozi wake, serikali yake imeweza kushugulikia kwa ufanisi changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyakazi. Akihutubia katika Maadhmisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI yaliyofanika kitaifa katia Uwanja wa CCM KIRUMBA Jijini MWANZA Rais KIKWETE amesema si kwamba changamoto zote zimekwisha, lakini anachojivunia ni kuzishughulikia changamoto za msingi zinazowakibili wafanyakazi. PAUSE Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi mwaka huu ni ‘’Mfanyakazi Jiandikishe Kura yako inathamani kwa maendeleo yetu.

Post a Comment

0 Comments